Huduma za Delivery Zenye Uhakika
Kuanzia mzigo mdogo mjini hadi bidhaa za masoko nje ya mji — AH Express Delivery ina suluhisho la usafirishaji linalokufaa.
Delivery kwa Bodaboda
Kwa mizigo midogo na ya haraka ndani ya mji, bodaboda zetu ni chaguo bora. Rider wetu anachukua mzigo ulipo na kuufikisha unakotaka kwa muda mfupi.
- Vifurushi na nyaraka
- Bidhaa ndogo za dukani
- Delivery ndani ya mji Zanzibar
Van na Pickup
Kwa mizigo mikubwa au bidhaa za masoko zinazokwenda nje ya mji, tunatumia Van, Townace na Pickup zenye uwezo wa kubeba mizigo mizito na mingi.
- Mizigo mikubwa/mizito
- Bidhaa za masoko
- Delivery nje ya mji Unguja
Vifurushi na Taarifa za Ofisi
Tunafikisha vifurushi/packages na taarifa muhimu za maofisini kwa usalama na kwa wakati, kati ya ofisi, wateja na wafanyabiashara.
- Vifurushi vya kazi/biashara
- Taarifa muhimu za haraka
- Usiri na usalama wa hati
Delivery ya Vyakula
Tunafikisha vyakula kutoka kwenye mikahawa na majumbani, vikiwa vibichi na kwa muda muafaka, popote ulipo Unguja.
- Kutoka mikahawa/hoteli
- Delivery ya haraka
- Uangalifu wa usafi
Huduma kwa Maduka na Biashara
Maduka, biashara na watu binafsi wanapata bei nafuu maalum kwa delivery za mara kwa mara. Tuwasiliane tupange mpango unaokufaa.
Maduka
Delivery za kila siku za bidhaa kwenda kwa wateja wako.
Biashara/Ofisi
Vifurushi na taarifa kati ya matawi au ofisi zako.
Watu Binafsi
Delivery ya mahitaji yako binafsi popote Unguja.