Mzigo wako, Jukumu letu
Huduma za delivery za haraka, salama na za uhakika ndani ya Zanzibar — kwa Bodaboda, Van na Pickup. Tunachukua mzigo ulipo na kuufikisha unakotaka.
Tunavyokusaidia kufikisha mzigo wako
Delivery kwa Bodaboda
Delivery ya haraka ndani ya mji kwa bidhaa ndogo, vifurushi na nyaraka.
Soma zaidi
Vifurushi na Ofisi
Delivery ya vifurushi/packages na taarifa muhimu za maofisini kwa uhakika.
Soma zaidiBei nafuu, wazi na bila usumbufu
Mjini Zanzibar
Kuanzia
TSh 4,000
Maeneo ya Karibu
Kuanzia
TSh 5,000
Maeneo ya Mbali
Kuanzia
TSh 10,000
* Bei zinaweza kutofautiana kulingana na uzito wa mzigo na umbali halisi. Angalia maelezo zaidi
Nguzo zinazotuongoza kila siku
Haraka
Tunafikisha mzigo wako kwa muda mfupi iwezekanavyo.
Salama
Mzigo wako unashughulikiwa kwa uangalifu mkubwa.
Uhakika
Huduma ya kutegemewa kila wakati unapotuhitaji.
Uaminifu
Tunajenga uhusiano wa kudumu na wateja wetu.
Hatua tatu tu kupata huduma
Tuma Ombi WhatsApp
Tutumie eneo la mzigo na unakotaka kufikisha.
Tunachukua Mzigo
Rider/dereva wetu anafika eneo lako haraka.
Tunafikisha Salama
Mzigo wako unafika unakotaka kwa wakati.
Punguzo kwa Delivery ya Kwanza!
Pia tunatoa bei nafuu maalum kwa wateja wa biashara wanaotuma mizigo mara kwa mara.
Pata Ofa SasaMaoni ya wateja wetu
Huduma ya haraka na ya uhakika, mzigo wangu ulifika salama.
Mteja Mmoja
Ninatumia AH Express kwa delivery za kila siku za duka langu.
Mmiliki wa Duka
Bei nafuu na huduma nzuri sana, nawapendekeza kwa kila mtu.
Mteja wa Kawaida
Uko tayari kutuma mzigo wako?
Wasiliana nasi sasa kwa WhatsApp na tutakusaidia mara moja.
Wasiliana Nasi Sasa